Kundi la Wanawake Waandishi, Congo Mashariki | Institute for War and Peace Reporting

Women's Reporting Collective

Kundi la Wanawake Waandishi, Congo Mashariki

Lengo la mradi huu, unao ongozwa na IWPR kutoka mjini The Hague (Netherlands) na Goma (Kongo), ni kuimarisha uwezo wa wanawake waandishi toka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) kupitia uanzishi wa kundi huru la wanawake wapasha habari. Hilo kundi ni mtandao rasmi la waandishi wanao lazimisha sana habari maalumu kuhusu haki za binadamu, hasa ubakaji na mambo ya kisheria.


Mradi huu uta boresha ujuzi la wanawake wapasha habari na litaruhusu wanawake wote mashariki mwa DRC kusikilisha sauti yao nyumbani, kikanda na ulimwenguni.