Tukio ya kesho yake jemadari Laurent Nkunda ni gani?
Jemadari Laurent NKUNDA, kiongozi wa zamani wa chama cha waasi CNDP, ame kamatwa na kufungwa huko incini Rwanda tangu mwezi wa januari. Ni nini anayo shtumiwa na wakati gani ndiyo ata rejeshwa incini congo ya kidemocratiya ili ahukumiwe kama wanavyo omba