Mbele ya sheria - Muji Congo Démocratique | Institute for War and Peace Reporting

Face à la Justice - RDC

Mbele ya sheria - Muji Congo Démocratique

Face à la justice ni programa moja toka shirika IWPR inayo zungumziya swala za sheria ulimwenguni. Face à la justice ni kipindi inayo leta habari kuhusu CPI, ina tazama na kuchunguza kazi inayo endehswa na CPI inchini congo, ikiwa ni kazi bora ama hapana ili wakongomani waelewe. Kipindi ina peperushwa kila juma mbili na yapata radios 90 zinazo kuwa katika mtandao za radio zinazo shirikiyana na Search For Common Ground. IWPR ina shirikiyana na SFCG katika kipindi hiki.


Timu ya Uandalizi: Melanie Gouby, Charles Ntiricya.

22 Mar 12
Kipindi chetu cha kumi, kinaonesha namna inavyo endeleya kesi ya Thomas Lubanga mjini den haah La Haye uholanzi. Tutachunguza pia hali ya watoto walio ingizwa katika jeshi. Wengi kati yao walipelekwa kwa nguvu katika jeshi, wakapigana vita, na wakaendes
IWPR
28 Mar 11
Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inajiandaa kwa uchaguzi wa wanabunge na rais mwezi wa Novemba mwaka wa 2011. Ila mabadiliko yaliyo fanyika kuhusu uchaguzi yame onekana kutofurahisha watu wamoja.
IWPR
17 Feb 11
Kurejea kwa wakimbizi wamoja wamoja imezidisha mabishano kwa kujigawiya udongo ambao haukuongezeka kamwe.
IWPR
17 Jan 11
Hata kuwa sheria ya Kongo inampa mwanamke na binti haki ya kurithi, bado mila ingali inawagandamiza kuhusu urithi huu.
IWPR
17 Nov 10
Msafara wa wamama ambao unaandaliwa kila miaka miwili, ulifanyika mjini Bukavu kwa kupinga unajisi inchini Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.
IWPR
2 Nov 10
Mashambulizi yenyi kufanywa nkila siku zidi ya watetezi wa haki za binaadamu ndani ya Kivu yana huzunikisha muungano wa raiya.
IWPR
19 Oct 10
Ripoti toka mitaa mbali mbali za majimbo haya mawili kulingana na ubakaji wa hivi karibuni mtaani Walikale.
IWPR
10 Sep 10
Kipindi Face à la Justice kinagusia hali kinyume na sheria za wafungwa ndani ya gereza za jimbo la Kivu ya Kaskazini na pia mazungumuzo kuhusu hali ndani ya chumba cha wafungwa kunako Mahakama kimataifa ambayo hufikiriwa kuwa mfano mzuri kwa kuhudumia waf