Mbele ya sheria - Muji Congo Démocratique

Face à la justice ni programa moja toka shirika IWPR inayo zungumziya swala za sheria ulimwenguni. Face à la justice ni kipindi inayo leta habari kuhusu CPI, ina tazama na kuchunguza kazi inayo endehswa na CPI inchini congo, ikiwa ni kazi bora ama hapana ili wakongomani waelewe. Kipindi ina peperushwa kila juma mbili na yapata radios 90 zinazo kuwa katika mtandao za radio zinazo shirikiyana na Search For Common Ground. IWPR ina shirikiyana na SFCG katika kipindi hiki.

Timu ya Uandalizi: Melanie Gouby, Charles Ntiricya.

Latest Stories

Syndicate content
7 Jan 2011
Msafara wa wamama ambao unaandaliwa kila miaka miwili, ulifanyika mjini Bukavu kwa kupinga unajisi inchini Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.
2 Nov 2010
Mashambulizi yenyi kufanywa nkila siku zidi ya watetezi wa haki za binaadamu ndani ya Kivu yana huzunikisha muungano wa raiya.
19 Oct 2010
Ripoti toka mitaa mbali mbali za majimbo haya mawili kulingana na ubakaji wa hivi karibuni mtaani Walikale.
12 Oct 2010
Wakati kesi nyingi za kujilipiza kisasi zime ripotiwa ndani ya vyombo vya habari eneo za Kivu, Kipindi Face a ja Justice kina chunguza kindanindani chanzo kinacho sukuma raia kujilipiza kisasi has hii ikiwa ni ukose wa kuaminia kazi za sheria kwa raia.
10 Sep 2010
Kipindi Face à la Justice kinagusia hali kinyume na sheria za wafungwa ndani ya gereza za jimbo la Kivu ya Kaskazini na pia mazungumuzo kuhusu hali ndani ya chumba cha wafungwa kunako Mahakama kimataifa ambayo hufikiriwa kuwa mfano mzuri kwa kuhudumia wafungwa.
9 Sep 2010
Wakati munyampara amekusudia ku upa mji wa Goma sura nyipya, wakaaji wengi wamejikuta bila makao kwani nyumba zao zimebomolewa. Sheria husema nini kuhusu swali hili na watu hufikiri nini kuhusu hatuwa za viongozi?
Syndicate content