Mbele ya sheria - Muji Congo Démocratique

Face à la justice ni programa moja toka shirika IWPR inayo zungumziya swala za sheria ulimwenguni. Face à la justice ni kipindi inayo leta habari kuhusu CPI, ina tazama na kuchunguza kazi inayo endehswa na CPI inchini congo, ikiwa ni kazi bora ama hapana ili wakongomani waelewe. Kipindi ina peperushwa kila juma mbili na yapata radios 90 zinazo kuwa katika mtandao za radio zinazo shirikiyana na Search For Common Ground. IWPR ina shirikiyana na SFCG katika kipindi hiki.

Timu ya Uandalizi: Melanie Gouby, Charles Ntiricya.

Latest Stories

Syndicate content
3 May 2011
Kupitia sherehe za sikukuu kimataifa ya habari, wandishi akina mama wa kipindi Face à la Justice wanazungumuzia kazi yao na hasa shida zinazo wakumba. Wanao kutolea kipindi ni Passy Mublama naye Clarisse Zihindula.
15 Apr 2011
Wapasha habari wawili wa kipindi Mbele ya sheriya walijielekeza huko u holanzi mujini La Haye kwa muda wa mwezi moja. Wanaeleza safari yao na namna gani walivumbua Korti kuu ya kimataifa, piya ripoti moja kuhusu vitendo vya uhalifu vya ubakaji kwenyi Korti Kuu ya Kimataifa.
28 Mar 2011
Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inajiandaa kwa uchaguzi wa wanabunge na rais mwezi wa Novemba mwaka wa 2011. Ila mabadiliko yaliyo fanyika kuhusu uchaguzi yame onekana kutofurahisha watu wamoja.
7 Mar 2011
Rais Kabila alichukuwa hatuwa ya kuwafunguwa wafungwa wamoja ili kutowa hewa gerezani jimboni Kivu ya Kaskazini. Hii ni hatuwa nzuri?
17 Feb 2011
Kurejea kwa wakimbizi wamoja wamoja imezidisha mabishano kwa kujigawiya udongo ambao haukuongezeka kamwe.
17 Jan 2011
Hata kuwa sheria ya Kongo inampa mwanamke na binti haki ya kurithi, bado mila ingali inawagandamiza kuhusu urithi huu.
Syndicate content